TSH BIL 8+ ZABORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU
DAR ES SALAAM
Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha Kuanzia Machi 2021 hadi Machi 2024 imeidhinisha kiasi cha shilingi Bilioni 8.96 kwa ajili ya kujenga nyumba za Walimu zaidi ya 253, kuwapandisha vyeo walimu takribani 227,263 maabara 132 kote nchini, mabwalo, ujenzi wa matundu ya vyoo zaidi ya 20,901, kukarabati shule kongwe na mengine mengi
#BiMkubwaKazini
