MIAKA MITATU YA BIMKUBWA KAZINI

 

BIMKUBWA KAZINI

MIAKA MITATU YA BIMKUBWA KAZINI

Bimkubwa Dkt Samia Suluhu Hassan, Mioyo yetu imejawa na Amani, Furaha Na Shukurani Tele Kwa Ajili Yako, Hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea Busara zaidi,Hekima na Afya Njema ili tuendelee kunufaika na uwepo wako hapa Duniani,ukituhudumia kama Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mitatu Imetimia, Bado Tunaendelea
(Machi 19,2021-Machi 19,2024)