TSH BIL 3.5 ZAPANUA KITUO CHA KUENDELEZA UKUZAJI VIUMBE MAJI
MOROGORO
Serikali ya awamu ya sita imetoa kiasi cha fedha zaidi ya Shilingi bilioni 3.5 kwa ajili ya kupanua uwekezaji katika Kituo cha Kuendeleza Ukuzaji Viumbe Maji kilichopo Kingolwira mkoani Morogoro ili kiongeze uzalishaji wa vifaranga vya samaki hadi kufikia milioni moja kwa mwezi kutoka vifaranga 100,000.Chanzo:- KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Utawala , Katiba na Sheria, ilipotembelea kwenye kituo hicho kilichopo katika Manispaa ya Morogoro.
