TSH BIL 2 KUBORESHA MIUNDOMBINU HOSPITALI YA RUFAA SIMIYU SIMIYU

 

TSH BIL 2 KUBORESHA MIUNDOMBINU HOSPITALI YA RUFAA SIMIYU SIMIYU

TSH BIL 2 KUBORESHA MIUNDOMBINU HOSPITALI YA RUFAA SIMIYU

Serikali ya awamu ya sita imetenga kiasi cha shilingi bilioni mbili kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa wodi za kulaza wagonjwa wa ndani pamoja na ujenzi wa uzio katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.
Chanzo:- Naibu waziri wa Afya Dkt. Mollel, Dodoma
Aidha serikali kupitia wizara ya Afya imeanza  kufanya tathmini ya Madaktari bingwa na Ubingwa bobezi ili kujua idadi yao katika maeneo waliopo ili kusambazwa nchini kulingana na mahitaji ya huduma za ubingwa bobezi katika mikoa