NYINGINE TENA KUBWA,NI BOEING 737-9 MAX

 

NYINGINE TENA KUBWA,NI BOEING 737-9 MAX

NYINGINE TENA KUBWA,NI BOEING 737-9 MAX

Tarehe 26 Machi 2024 (Jumanne) Tanzania inatarajia kupokea ndege  nyingine  mpya ya  (ATCL), Boeing 737-9 Max, inayotarajiwa kuwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1 kutokea nchini Marekani. 
Ujio wa ndege hiyo utaifanya ATCL kuwa na ndege 14, zikiwemo Boeing B737-9 Max mbili.
#BiMkubwaKazini