MWENEZI MAKONDA KUFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI MACHI 5.
DAR ES SALAAM
Katibu wa NEC, Itikadi, Mafunzo na Uenezi wa CCM Taifa, Ndg. Paul Christian Makonda anatarajia kufanya mkutano na Waandishi wa habari (leo) Jumanne, Machi 05, 2024, saa 4 asubuhi, Makao Makuu ya CCM, ofisi ndogo, Dar es Salaam.
