DKT SAMIA KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SHERIA WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA

DKT SAMIA KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SHERIA WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA

DKT SAMIA KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SHERIA WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA

ZANZIBAR 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (leo) Machi 4,2024  amehutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar
Mkutano huo unahusisha mawaziri wa sheria, viongozi, wajumbe takribani 300 katika nchi 56, na unafanyika kwa siku tano kuanzia Machi 4 hadi 8,2024