MHE.RAIS SAMIA APONGEZWA ONGEZEKO LA MIRADI YA UWEKEZAJI

 

MHE.RAIS  SAMIA APONGEZWA  ONGEZEKO LA MIRADI YA UWEKEZAJI

MHE.RAIS  SAMIA APONGEZWA  ONGEZEKO LA MIRADI YA UWEKEZAJI

PWANI
Kamati ya Bunge, Utawala, Katiba na Sheria imesema juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za kuitangaza Tanzania zimesababisha kuongezeka kwa miradi ya uwekezaji.
Chanzo:- kamati ya bunge Utawala, Katiba na Sheria hivi karibuni wakati timu hiyo ilipotembelea mradi wa Hifadhi ya Kisasa ya Viwanda katika Kijiji cha Disunyara wilayani Kibaha mkoani Pwani ambao ni mradi wa wawekezaji wa ndani (KAMAKA) na umetumia kiasi cha shilingi trilioni 3.5
“Ongezeko kubwa la shughuli za uwekezaji nchini limewezekana kutokana na jinsi Rais wetu anavyotangaza fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana katika nchi yetu, jitihada hizo zinazaa matunda kwani wawekezaji wengi zaidi kutoka kote nchini na duniani wanakuja kuwekeza katika miradi mbalimbali” imesema kamati hiyo
Kwa mujibu wa takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), zinasema hadi sasa wawekezaji wa ndani ni 61%  ya wawekezaji wote nchini.