MHE RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO BARAZA LA MAWAZIRI
DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Machi 8, 2024 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.
Tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
Twitter (X) :-Bimkubwatanzania
Instagram:-bimkubwatanzania
Facebook:- Bi Mkubwa Tanzania
Youtube:- bimkubwatanzania
