MHE.RAIS SAMIA AFTARISHA IKULUDAR ES SALAAM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (leo) Machi 12 ameandaa futari na kuwaftarisha viongozi pamoja na makundi mbalimbali katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.