TAZAMA HAPA:https://www.youtube.com/watch?v=MfaMntcloF4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 13 Machi, 2024 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.