TSH BIL 600 ZAJENGA KIWANDA CHA SUKARI KILOMBERO

 

TSH BIL 600 ZAJENGA KIWANDA CHA SUKARI KILOMBERO

TSH BIL 600 ZAJENGA KIWANDA CHA SUKARI KILOMBERO

MOROGORO 
Serikali imesema inatarajia kukamilisha ujenzi wa kiwanda kipya cha sukari (K4) katika Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro chenye thamani ya Tsh. bilioni 600 ifikapo mwezi Julai mwaka huu ili kuongeza uzalishaji wa sukari Nchini.
Kiwanda hicho ambacho kwa sasa kimefikia 70% kitakuwa na uwezo wa kuzalisha tani 272 kwa mwaka na hivyo miwa yote ambayo ilikuwa na changamoto ya kununuliwa sababu ya kukosa soko itanunuliwa yote kwa wakati mmoja.
Wilaya  ya Kilombero ina viwanda viwili K1 na K4 ambacho kinakamilika Julai mwaka huu