TAZAMA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=O9I1ChR9KEw
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan awaongoza viongozi na wananchi wa Visiwa vya Zanzibar kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Alhaj Ali Hassan Mwinyi katika Uwanja wa Amani Zanzibar.
