IKIFIKA 2030, 88% YA WANAWAKE WATUMIE NISHATI-DKT SAMIA

 

IKIFIKA 2030, 88% YA WANAWAKE WATUMIE NISHATI-DKT SAMIA

IKIFIKA 2030, 88% YA WANAWAKE WATUMIE NISHATI-DKT SAMIA

DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia suluhu Hassan  ametoa agizo kwamba kufikia 2030 anataka asilimia 88 ya wanawake Tanzania watumie nishati safi.
Kiongozi huyo wa nchi ameeleza hayo Machi 13, 2024 wakati akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)  Christina Mndeme katika gafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam.
“Kuna ‘project’ (mradi) ya clean cooking kwa wanawake wa Afrika, lazima tuoneshe mfano hapa nyumbani, kanisaidie tuanze hapa tuoneshe mfano, Mimi nakwenda kutumika kwa Afrika, lakini hapa ni wewe na mshauri wangu ndani ya ofisi yangu na wengine mtakaofanya nao kazi kwenye mazingira,”amesema Rais  Dkt Samia.