IDADI YA WANAFUNZI SEKONDARI YAONGEZEKA

 

IDADI YA WANAFUNZI SEKONDARI YAONGEZEKA

IDADI YA WANAFUNZI SEKONDARI YAONGEZEKA

DAR ES SALAAM
Idadi ya Wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne imeongeze kutoka 2,256,489 mwaka 2021 hadi wanafunzi 2,881,335 Februari 2024 sawa na ongezeko la wanafunzi 624,846.Aidha wanafunzi wa kidato cha Tano na Sita wameongezeka kutoka 123,456 mwaka 2021 hadi kufikia Wanafunzi 159,816 mwezi Februari, 2023 sawa na onezeko la wanafunzi 36,360.