DKT SAMIA ANAPOKEA RIPOTI YA CAG NA TAARIFA YA UTEKELEZAJI KAZI YA TAKUKURU 2022/23
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28,Machi 2024 anapokea ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali (CAG) kwa mwaka 2022/2023 pamoja na taarifa ya utendaji kazi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) kwa mwaka 2022/2023.
Hafla hii inafanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Kwa taarifa zaidi endelea kuwa nasi kupitia mitandao yetu ya kijamii
Blog:-bimkubwatanzania.blogspot.com
Twitter (X) :-Bimkubwatanzania
Instagram:-bimkubwatanzania
Facebook:- Bi Mkubwa Tanzania
Youtube:- bimkubwatanzania
