HADI FEBRUARI 2022 MTWARA ILIPOKEA TSH BIL 144

 

HADI FEBRUARI 2022 MTWARA ILIPOKEA TSH BIL BIL 144

HADI FEBRUARI 2022 MTWARA ILIPOKEA TSH BIL 144

MTWARA
Hadi kufikia Februari 2022,serikali ilitoa kiasi cha shilingi 144,104,082,366.00 (Bilioni 144.10) sawa na 55% ya fedha zilizoidhinishwa.
Kati ya fedha hizo, Shilingi 5,300,023,204 (Bilioni 5.3) ni za kulipa mishahara, matumizi mengineyo na miradi ya maendeleo kwenye Sekretarieti ya Mkoa na Shilingi 138,804,059,162 (Bilioni 138.80) ni kwa ajili ya Halmashauri kulipa mishahara, matumizi mengineyo na utekelezaji wa miradi ya maendeleo.