TAZAMA HAPA:https://www.youtube.com/watch?v=aUv-TRm7Guk
Mhe Rais Dkt Samia kuanzia Machi 2021 hadi Machi 2024 ameshiriki katika duru za majadiliano ya masuala ya kilimo kimataifa na kuifanya nchi kushinda kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika (Africa FoodSystems Forum) iliyofanyika tarehe 5 hadi 8 Septemba, 2023 Jijini Dar es Salaam, hatua iliyoafanikisha kuzileta taasisi za kimataifa na wadau wa maendeleo kama vile Benki ya Dunia, AFDB, USAID, IFAD,FAO, AGRA na wadau wengine kuanza uwekezaji na Tanzania kurudishwa kwenye Mpango wa Feed the Future.
Kwa undani wa taarifa zaidi, tafadhali Fuatilia makala hii
