DKT SAMIA NA BALOZI WA LIBYA NCHINI MHE. ABDULMAJED
DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Machi 11, 2024 amepokea hati za utambulisho za Balozi Mteule wa Libya nchini Tanzania Mhe. Abdulmajed Albahlul Alshatewi , baada ya kupokea hati hizo Mhe Rais Dkt Samia amefanya mazungumzo na balozi huyo mteule, Ikulu Jijini Dar es Salaam
#Diplomasiainalipa
