DKT SAMIA AZUNGUMZA NA MUFTI MKUU WA ZANZIBAR,SHEIKH SALEH OMARY KAABI
ZANZIBAR
Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo Machi 15 amezungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi wakati wa Futari aliyowaandalia viongozi pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Tunguu Zanzibar.
Aidha pichani aliyeketi Kushoto ni Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
