TSH TRIL 73+ IMEWEKEZA KATIKA MASHIRIKA YA UMMA

 

TSH TRIL 73+ IMEWEKEZA KATIKA MASHIRIKA YA UMMA

TSH TRIL 73+ IMEWEKEZA KATIKA MASHIRIKA YA UMMA

DODOMA
Thamani ya uwekezaji wa umma imefikia shilingi trilioni 73.36 hadi mwaka wa fedha wa 2021/22, ambapo trilioni 70.8 zimewekezwa katika mashirika ambayo serikali inamiliki 51% ya hisa, hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Deus Sangu akitoa takwimu hizo Bungeni alipokuwa akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo katika kipindi cha Februari 2023 na Januari 2024.
Aidha kutokana na uwekezaji huo, Serikali imepata faida ya Shilingi bilioni 850.