WAJAWAZITO HAWATEMBEI TENA KM 150 KUFUATA HUDUMA ZA KIBINGWA

WAJAWAZITO HAWATEMBEI TENA KM 150 KUFUATA HUDUMA ZA KIBINGWA

WAJAWAZITO HAWATEMBEI TENA KM 150 KUFUATA HUDUMA ZA KIBINGWA

SIMIYU
Serikali ya awamu ya sita kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imepeleka vifaa tiba vya vyenye thamani ya shilingi milioni 23 katika hospitali ya Rufaaa ya Mkoa wa Simiyu kwa ajili ya kuanza kutoa huduma za kibingwa kwa akina Mama wajawazito na watoto.

Awali mama mjamzito akihitaji huduma za kibingwa alilazimika kukimbizwa Bugando Mkoani Mwanza Kilometa zaidi ya 150 kwenda kupata huduma hiyo.

KUMBUKA:-malengo ya Mhe Rais Dkt Samia ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma za Afya kwenye maeneo yao na hilo analifanikisha katika maeneo mbalimbali nchini.