TSH BIL 1.32 ZAJENGA KITUO CHA AFYA LOLIONDO
ARUSHA
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 1.32 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya Ketumbeine kilichopo Wilaya ya Loliondo mkoani Arusha.
Kituo hicho kitahudumia vijiji vinne katika Wilaya hiyo ya Loliondo Mkaoni Arusha.
Ukamilikaji wa ujenzi wa kituo hicho na kuanza kutoa huduma za afya itakuwa ni msaada mkubwa kwa wananchi kupata huduma bora za afya karibu na maeneo yao.