TSH MIL 877 KUNUFAISHA WANANCHI MUHEZA (MAJI)

TSH MIL 877 KUNUFAISHA WANANCHI MUHEZA (MAJI)

TSH MIL 877 KUNUFAISHA WANANCHI MUHEZA (MAJI)

TANGA
Wananchi Takribani 3,700 katika vijiji vya Mbobole na Sakale wilayani Muheza mkoani Tanga watanufaika na mradi wa maji safi wenye thamani ya zaidi ya Sh milioi 877, fedha iliyotolewa na serikali ya awamu ya sita kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo.
Mradi huo kwa sasa umefikia 72% ya utekelezaji na utakapokamilika utazalisha lita 150,000 huku mahitaji ya Wananchi wa vijiji hivyo ikiwa ni lita 90,000 pekee.