BARABARA KM 28451.01 ZATENEGENZWA

 

BARABARA KM 28451.01 ZATENEGENZWA

BARABARA KM 28451.01 ZATENEGENZWA

TANZANIA
Katika mwaka wa fedha 2023/24,jumla ya km  28451.01  kutoka kwenye mpango wa matengenezo katika Barabara Kuu na Barabara za Mikoa  zilitengenezwa.
Hadi kufikia Aprili, 2024, kazi zilizofanyika katika Barabara Kuu na Barabara za Mikoa ni matengenezo ya kawaida kilometa 23,985.72, matengenezo ya muda maalum kilometa 2,166.46 matengenezo ya sehemu korofi kilometa 287.83 pamoja na matengenezo ya madaraja 2,011. 
Kwa ujumla, mpango wa matengenezo katika Barabara Kuu na za Mikoa ulikuwa umekamilika kwa 69% kutoka kwenye lengo la kutengeneza  barabara 34,383.67, matengenezo ya muda maalum kilometa 3,612.59, matengenezo ya sehemu korofi kilometa 402.65 pamoja na matengenezo ya madaraja 3,129.