TSH BIL 429 KWENYE MIRADI YA MAJIKIGOMAKwa kipindi cha miaka mitatu cha uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan mkoa wa Kigoma umepokea kiasi cha shilingi bilioni 429 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji.