DKT SAMIA AOMBOLEZA KIFO CHA RAIS WA NAMIBIA, MHE HAGE

 

DKT SAMIA AOMBOLEZA KIFO CHA RAIS WA NAMIBIA, MHE HAGE

DKT SAMIA AOMBOLEZA KIFO CHA RAIS WA NAMIBIA, MHE HAGE

DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ametoa salaam za pole kwa niaba ya Wananchi wa Tanzania kufuatia taarifa za kifo cha Rais wa Namibia Mhe. Hage G. Geingob.
Kupitia ukurasa wa X(zamani kama TWITTER) Mhe Rais Dkt Samia ameandika 
“I am deeply saddened to learn of the passing of the President of Namibia, His Excellency @ hagegeingob a dear brother, a venerable Pan Africanist and a great friend of Tanzania.
On behalf of the people of the United Republic of Tanzania, I send my condolences to the people of the Republic of Namibia, the Acting President, His Excellency Dr. Nangolo Mbumba, Madam First Lady, Her Excellency Monica Kalondo, family, friends and comrades in SWAPO.
May you all be comforted during this difficult time. May his soul rest in peace. Amen”
“Nimesikitika sana kupata taarifa ya kifo cha Rais wa Namibia, Mheshimiwa hagegeingob Kaka yangu mpendwa, mwana Pan Africanist anayeheshimika na rafiki mkubwa wa Tanzania. Kwa niaba ya wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natuma salamu za rambirambi kwa wananchi wa Jamhuri ya Namibia, Kaimu Rais, Mheshimiwa Dkt. Nangolo Mbumba, Mke wa Rais, Mheshimiwa Monica Kalondo, familia, marafiki na ndugu wa SWAPO.
Ninyi nyote mfarijike katika kipindi hiki kigumu. Roho yake ipumzike kwa amani. Amina”
BimkubwaTanzania tunaungana na Mhe Rais Dkt Samia kuwapa faraja wananchi wa Namibia kwa kipindi hiki kigumu.