TSH BIL 41 ZAIMARISHA HUDUMA YA MAJI MBULU
MANYARA
Kwa kipindi cha miaka mitatu serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepeleka kiasi cha shilingi bilioni 41 katika wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, fedha ambazo tangu wilaya hiyo ianzishwe hazikuwahi kuzipata kwa kipindi kifupi na mfululizo.