TSH BIL 3 YAJENGA SHULE MAALUM YA WASICHANA NSIMBOKATAVISerikali imeidhinisha kiasi cha shilingi bilioni 3 kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Shule maalumu ya Wasichana katika Halmashauri ya Nsimbo mkoa wa Katavi.