BMH YAPOKEA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA

 

BMH YAPOKEA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA

BMH YAPOKEA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA 

DODOMA
Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kuboresha sekta ya afya kwa kutoa magari mawili ya kubebea wagonjwa kwa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma ili kusaidia wagonjwa wa kanda ya kati kufika kwa wakati Hospitalini na kuondoa changamoto ya wagonjwa wanapopata rufaa.
ZINGATIA:-ujio wa magari ya kubebea wagonjwa unaonyesha dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kujali afya za watanzania na kutaka taifa lenye afya bora .