SERIKALI YAKAMILISHA UJENZI MAJOSHO 7 MSOMERATANGASerikali imekamilisha ujenzi wa majosho saba kwa ajili ya kuoshea mifugo, miradi kwa ajili ya malisho ya mifugo ambapo maandalizi yamekamilika yakiwemo ya upatikanaji wa mbegu katika Kijiji cha Msomera kilichopo Wilaya ya Handeni mkoani Tanga