RAIS SAMIA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE CLEOPA DAVID MSUYA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Februari 3,2024 amekutana na kufanya mazungumzo na  Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa D

RAIS SAMIA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE CLEOPA DAVID MSUYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Februari 3,2024 amekutana na kufanya mazungumzo na  Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
KUMBUKA:- Mhe Msuya ni Waziri Mkuu (Mstaafu) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliwahi kushika wadhifa wa Waziri Mkuu mara mbili. Mara ya kwanza ni kuanzia tarehe 7 Novemba, 1980 hadi tarehe 24 Februari, 1983. Mara ya pili ilikuwa ni tarehe 5 Desemba, 1994 hadi tarehe 28 Novemba, 1995.