MTAMBO WA MEGAWATI 20 KUZALISHA UMEME MTWARA, LINDI
MTWARA
MIKOA ya Mtwara na Lindi imepokea mtambo mkubwa na kuzalisha umeme wa megawati 20 unaotarajiwa kuanza kazi kufanya kazi Machi 31, 2024.
Chanzo:- Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba wakati wa zoezi la ukaguzi wa mtambo huo wa kuzalisha umeme lililofanyika mapema Februari 2024 katika kijiji cha Hiari halmashauri ya wilaya ya Mtwara.
KUMBUKA:- Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipofanya ziara katika mikoa ya Mtwara mwezi septemba 2023 kuanzia tarehe 15-20 (15-17 Mtwara) na (17 hadi 19 Lindi) alitoa maelekezo mahususi wizara ya nishati kuhusu hali ya umeme katika mikoa hiyo.