TSH BIL 5 KUJENGA HOSPITALI YA RUFAA KATAVI
DODOMA
Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan imetenga kiasi cha shilingi bilioni tano katika mwaka wa fedha 2023/2024 kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi ambapo kati ya fedha hizo, kiasi cha shilingi 224,750,000/= zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la huduma ya usafishaji damu
Chanzo:- Wizara ya afya kupitia bunge la 12 mkutano wa 18 kikao cha 8 tarehe 08 februari, 2024