DIPLOMASIA ZA DKT SAMIA ZAWANEEMESHA WALIMU NCHINI.

 

DIPLOMASIA ZA DKT SAMIA ZAWANEEMESHA  WALIMU NCHINI.

DIPLOMASIA ZA DKT SAMIA ZAWANEEMESHA  WALIMU NCHINI

DODOMA
Serikali imesaini Mradi mpya na Wadau wa GPE ambao una afua za kutatua changamoto za walimu nchini unaojulikana kama ‘Teacher Support Programme’ (TSP) wenye thamani ya shilingi Bilioni 264 ambao umeanza katika mwaka wa 2023/2024 ikiwa ni matunda ya Mhe Rais  Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anaimarisha mahusiano ya kimataifa (diplomasia) na nchi na Wadau mbalimbali wa maendeleo.