TSH TRIL 6+ KUIMARISHA TAASISI ZA FEDHA NCHINI
UINGEREZA
Shirika la fedha la Uingereza(UKEF), limetenga takriban paundi bilioni 2 zaidi ya shilingi trilioni 6.384 kama dhamana kwa sekta za umma na binafsi za Tanzania.
Dhamana hii inalenga kuwezesha upatikanaji wa mikopo kwa jumuiya ya wafanyabiashara wa Tanzania kutoka taasisi mbalimbali za fedha.
Chanzo:- Ofisi ya ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kuelekea Semina inayolenga kuwapa wafanyabiashara wa Kitanzania ufahamu wa kupata udhamini kutoka UKEF ili kurahisisha mikopo kutoka kwa taasisi za fedha duniani itakayofanyika kati ya tarehe 19 na 23 Februari mwaka huu.