TSH BIL 8 ZAJENGA BWAWA LA KASOLI, BARIADI
SIMIYU
Serikali imeitoa kiasi cha bilioni 8 kwa ajili ya Mradi wa ujenzi wa bwawa la Kasoli lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu.
Ujenzi wa bwaha hilo umefikia 40% na utakamilika Februari 2024, ambapo kukamilika kwa bwawa hilo kutawanufaisha wakulima zaidi ya 720 na kuongeza tija ya uzalishaji wa mahindi na mpunga.
Aidha serikali kupitia Tume ya Umwagiliaji iliyo chini ya Wizara ya Kilimo imepanga mwaka huu wa fedha kufanya ujenzi mpya wa mabwawa 100 nchi nzima ili kumsaidia mkulima kuweza kulima mwaka mzima bila kutegemea mvua.
#MWANZABIMKUBWAANAKUJA.
#BHANANGH'WANZAUMAYUALIZA
#MWANZABIMKUBWAKAJA.