FAHAMU SKIMU ZILIZOPO MKOA WA KAGERA
KAGERA
Serikali ya awamu ya sita imeweka nguzu kwenye kilimo cha umwagiliaji kwa kujenga na kuendeleza Skimu katika Mkoa wa Kagera ambazo ni skimu za Mwisa (Karagwe), Kyamyorwa, Kyota, Buhangaza na Buyaga (Muleba) na Kyakakera, Nkenge(Misenyi) Bigombo (Ngara) na Mwiruzi (Biharamulo).
Kati ya skimu zote zilizoendelezwa skimu zipatazo sita tayari zimesajiliwa ambazo ni Mwisa, Kyakakera,Buhangaza,Buyaga, Kyota na Bigombo.
#MWANZABIMKUBWAANAKUJA.
#BHANANGH'WANZAUMAYUALIZA
#MWANZABIMKUBWAKAJA.