TSH BIL 13 KUTEKELEZA MIRADI 7 YA MAJI LUDEWA

 

SAMIA,NJOMBE

TSH BIL 13 KUTEKELEZA MIRADI 7 YA MAJI LUDEWA

NJOMBE

Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imepewa kiasi cha shilingi bilioni 13 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi saba ya maji kukamilika kwa miradi hiyo kunalenga kuongeza huduma ya maji kutoka 74.3% hadi 79.7%  eneo la vijijini na 100% kwa wakazi wa Mji wa Ludewa.