SERIKALI YAKABIDHI VITENDEA KAZI KWA NIRC

 

SERIKALI YAKABIDHI VITENDEA KAZI KWA NIRC

SERIKALI YAKABIDHI VITENDEA KAZI KWA NIRC

DODOMA
Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imekabidhi magari 21,malori 10 na mitambo 17 kwa ajiki ya kuwezesha utendaji wa kazi za Tume.

Katika hatua nyingine serikali inajenga ofisi katika mikoa 16 nchini lengo likiwa ni kusogeza huduma karibu na wananchi katika shughuli kilimo na kutekeleza agenda ya 1030.
ZINGATIA:- Ajenda 10/30 inalenga kufikia 10% ya kiwango cha ukuaji wa kila mwaka kwa sekta ndogo ya mazao ifikapo mwaka 2030
#HAPPYBIRTHDAYBIMKUBWA