HERI YA SIKU YA KUZALIWA BI MKUBWA

 

HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAIS SAMIA

HERI YA SIKU YA KUZALIWA BI MKUBWA

Asante kwa kuyagusa maisha yetu katika utumishi wako kama Rais wa Nchi yetu,Kwa sababu yako, tunaweza kujivunia kila iitwayo leo, Tunakutakia furaha na afya njema Bimkubwa katika siku yako ya kuzaliwa.