SERIKALI KUENDELEA KUJENGA NA KUKARABATI MELI NCHINI
INDIA
Serikali kupitia wizara ya uchukuzi imesema itaendelea kuhakikisha utekelezaji wa miradi ya ujenzi na ukabarati wa meli nchini unaongeza wataalam katika sekta ndogo ya bahari nchini ili kuiwezesha kukua kulingana na kasi ya uwekezaji unaofanyika.
Chanzo:- wizara ya uchukuzi kupitia matembezi kwenye Kampuni ya Cochin Shipyard ya Serikali ya India ambayo inajihusisha na Utengenezaji na Ukarabati wa Meli.
Aidha wataalam wa sekta ya Bahari nchini wanatarajiwa kunufaika kwa kupata ujuzi zaidi hususani kwenye usimamizi na ujenzi wa meli.