BARABARA SONGEA-NJOMBE-MAKAMBAKO KUJENGWA UPYA KWA LAMI

BARABARA SONGEA-NJOMBE-MAKAMBAKO KUJENGWA UPYA KWA LAMI

BARABARA SONGEA-NJOMBE-MAKAMBAKO KUJENGWA UPYA KWA LAMI

NJOMBE
Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa fedha kwa ajili ya kuanza ukarabati na ujenzi wa barabara kutoka Songea, Njombe hadi Makambako kwa kiwango cha lami.
Chanzo:- wizara ya ujenzi
Taarifa kutoka wizara ya ujenzi inasema hadi kufikia mwezi wa tatu au wanne mwaka huu (2024) tayari mkandarasi kwa ajili ya ujenzi huo atakuwa amepatikana na kuanza kuijenga upya barabara hiyo muhimu.