MLIMA KILIMANJARO KWENYE REKODI YA GUINESS
KILIMANJAROMtandao wa Guiness World Record umeidhinisha,rekodi ya kupiga kinubi kwenye eneo la juu zaidi duniani kwenye Mlima Kilimanjaro , rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Mlima Himalaya. https://t.co/uJ8eJqvuAV