DAR ES SALAAM
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Akishiriki Ibada Maalum Ya Kumuingiza Kazini Mkuu Mteule Wa Kanisa La Kiinjili La Kilutheri Tanzania-Kkkt, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Katika Viwanja Vya Kanisa Kuu La Azania Front, Dayosisi Ya Mashariki Na Pwani, Tarehe 21,Januari 2024,Dar Es Salaam.
https://www.youtube.com/live/OiXbHyn0gxg?si=qM9Qe-PIPaTOc152