DKT SAMIA NA MKUU WA KANISA LA KKKT ASKOFU DKT. MALASUSA, KANISANI
DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki ibada maalum ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, ibada iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.
Pichani ni Dkt Samia Suluhu Hassan akimpa mkono wa pongezi Mkuu wa Kanisa la KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa mara baada ya ibada hiyo ya kuingizwa kazini
KUMBUKA:-BIMKUBWA YUPO KWA AJILI YA WANANCHI WOTE, WAKATI WOWOTE