KANDA YA ZIWA KUNUFAISHWA NA ZIARA YA DKT SAMIA
MWANZA
Siku ya Jumanne Januari 30, 2024 Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan atagawa jumla ya boti 55 kwa wavuvi 989 kutoka mikoa ya kanda ya Ziwa.
Mkoa wa Mwanza unatarajia kupata boti 26, Mara boti 11 na Geita watapata boti 9, Mkoa wa Kagera utapata boti 8 na mkoa wa Simiyu utapata meli moja ya uvuvi.
#MWANZABIMKUBWAANAKUJA.
#BHANANGH'WANZAUMAYUALIZA
#MWANZABIMKUBWAKAJA.