DKT SAMIA ATEMBELEA KIWANGA CHA KARAFUU CHA INDESSO AROMA
INDONESIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan (leo) Januari 26 ametembelea kiwanda cha Karafuu cha Indesso Aroma nchini Indonesia wakati alipohitimisha ziara yake ya kiserikali ya siku tatu iliyoanza tarehe 24 hadi 26 januari 2024
Akiwa kiwandani hapo Dkt Samia amepata nafasi ya kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Indesso Tanzania (Zanzibar) Ltd, Feri Seloh pamoja na Mkurugenzi wa Ubunifu na uendeshaji wa Kiwanda cha Indesso Bi. Rosalina Privita mara baada ya kukagua shughuli mbalimbali za Kiwanda hicho cha Karafuu.
#BIMKUBWAINDONESIA