DKT SAMIA KUAZA ZIARA JIJINI MWANZA JANUARI 29
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi mkoai Mwanza kuanzia Januari 29, 2024.kupamba ugawaji wa vifaa vya uvuvi kwa wavuvi na vikundi vya wavuvi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Taarifa kutoka ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Mwanza inasema Dkt Samia atawasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza siku ya Jumatatu januari 29, na jumanne tarehe 30 atasambaza zana za uvuvi katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Nyamagana.