DKT SAMIA AZINDUA UGAWAJI VIZIMBA VYA KUFUGIA SAMAKI
MWANZA.
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo januari 30 amezindua ugawaji wa vizimba vya kufugia Samaki kwa ajili ya wavuvi kanda ya ziwa, hafla iliyofanyika pembezoni mwa Ziwa Victoria katika ziara ya kikazi ya siku moja iliyofanyika Mkoani Mwanza.
#MAIKHALIIKANDAYAZIWA